12TH EAST AFRICAN PUBLIC PROCUREMENT FORUM

 

PPRA, in collaboration with the Ministry of Finance and Planning, PPAA GPSA and PSPTB, would like to invite all public procurement stakeholders to the 12th East African Public Procurement Forum, which will be held from 27th – 29th November, 2019 at AICC – Arusha.

The theme of the Forum is, “Embracing Modern Procurement Practices for Sustainable Economic Development”.

More than 400 delegates from East Africa and beyond are expected to attend, including accounting officers, tender board members, internal auditors, and representatives of user departments. Other delegates will include bidders, contractors, service providers and people from academia.

Please confirm your participation by paying TZS 350,000/= (Three Hundred and Fifty Thousand) before 15th Novemba, 2019.

In addition, there will be exhibitions whereby interested public and private organizations will get an opportunity to showcase their products and services to the delegates.

For more information on how to attend the Forum or participate in the exhibitions, please contact us through phone number +255 715 232 712; or e-mail: Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

You are all invited

JUKWAA LA 12 LA UNUNUZI WA UMMA KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

PPRA, kwa ushirikiano na Wizara ya Fedha na Mipango, PPAA, GPSA na PSPTB, inapenda kuwakaribisha wadau wa ununuzi wa umma kwenye Jukwaa la Ununuzi wa Umma kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki litakalofanyika kuanzia tarehe 27 hadi 29 Novemba, 2019. Jukwaa hili litafanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC – Jijini Arusha.

Kaulimbiu  ya Jukwaa hili ni, “Matumizi ya Njia za Kisasa katika Ununuzi wa Umma kwa Maendeleo Endelevu ya Kiuchumi.”

Watakaohudhuria ni wadau wa ununuzi wa umma nchini, wakiwemo maafisa masuuli, wataalamu wa ununuzi kutoka taasisi za umma na binafsi, wajumbe wa bodi za zabuni, wakaguzi wa ndani, na wawakilishi wa idara tumizi. Vilevile, Jukwaa hili litahudhuriwa na watoa huduma serikalini, wazabuni, wafanyabiashara, wakandarasi na wanazuoni.

Sambamba na tukio hili, kutakuwepo na maonesho maalum ambapo taasisi za umma na binafsi zitapata fursa ya kutangaza huduma na bidhaa zao kwa washiriki wanaotarajiwa kuwa zaidi ya 400. Tafadhali, unaombwa kuthibitisha ushiriki wako kwa kulipia kiasi cha TZS. 350,000/= (Laki Tatu na Elfu Hamsini) tu; kwa kila mshiriki kabla ya tarehe 15 Novemba, 2019.

Kwa mawasiliano zaidi ya namna ya kushiriki Jukwaa au Maonesho, tafadhali wasiliana nasi kwa simu  namba +255 715 23 27 12 au baruapepe: Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona. 

 

Nyote Mnakaribishwa

 

 

BONYEZA    PAKUA KUONA AU KUPAKUA MAAMUZI (2017 - 2018)

 

KESI NA

MLALAMIKAJI MALALAMIKIWA PAKUA
Kesi Na.1
M/S PUBLIC GENERAL TRADERS

KARIAKOO MARKETS CORPORATION

 

Kesi Na.2 Withdrawn Withdrawn  

 

Kesi Na.3 DATAHOUSE TANZANIA LIMITED LAPF PENSIONS FUND

 
Kesi Na.4

M/S JV JOE’S ELECTRICAL PTY LTD

AT AND C PTY, AND L’S SOLUTION LTD

RURAL ENERGY AGENCY

 
Kesi Na.5

M/S MF ELECTRICAL ENGINEERING LTD AND GESAP ENGINEERING

RURAL ENERGY AGENCY

 
Kesi Na.6

Withdrawn

Withdrawn  

 

Kesi Na.7 M/S GROUP SIX INTERNATIONAL LTD PANGANI BASIN WATER BOARD  

Kesi Na.8

M/S NYALINGA INVESTMENT COMPANY LTD

MPANDA URBAN WATER SUPPLY AND SANITATION AUTHORITY

 

Kesi Na.9

M/S PAMBA ROAD SERVICE STATION

MWANZA URBAN WATER SUPPLY  AND SANITATION AUTHORITY

 
Kesi Na.10

M/S FUTURE CENTURY LIMITED

RURAL ENERGY AGENCY

 
Kesi Na.11

M/S VC (T) LTD, POWERGEN & TD LTD AND VICTECH LTD JV

RURAL ENERGY AGENCY

 
Kesi Na.12 M/S COOL CARE SERVICES LTD MUHIMBILI ORTHOPAEDIC INSTITUTE

 
Kesi Na.13 M/S H.H. HILLAL AND COMPANY LTD MEDICAL STORES DEPARTMENT

 
Kesi Na.14 M/S NYAKIRANG’ANI CONSTRUCTION LIMITED

BARIADI TOWN COUNCIL

 

Kesi Na.15 M/S ADVANCED SECURITY COMPANY LTD KINONDONI MUNICIPAL COUNCIL  

Kesi Na.16

M/S M.A.K. ENGINEERING COMPANY LTD

TANZANIA ELECTRIC SUPPLY COMPANY LTD

 

Kesi Na.17 M/S PROFESSIONAL CLEANERS LTD MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTHAND ALLIED SCIENCES

 
Kesi Na.18

M/S KWADU MIKOMA ENTERPRISES

TANZANIA ELECTRIC SUPPLY COMPANY LIMITED (TANESCO)

 

Kesi Na.19 M/S SKOL BUILDING CONTRACTORS LIMITED TANZANIA ROADS AGENCY

 
Kesi Na.20 M/S HUMPHREY CONSTRUCTION LTD PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY (PPRA)

 
Kesi Na.21 SAMWEL W. KIVUYO KARIAKOO MARKETING CORPORATION  

Kesi Na.22 JASSIE AND COMPANY LTD GEITA TOWN COUNCIL

 
Kesi Na.23 ALVIC BUILDERS (T) LTD PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY (PPRA)  

Kesi Na.24

M/S HELPING HAND

TANZANIA ELECTRIC SUPPLY COMPANY LIMITED

 
Kesi Na.25 M/S SECULARMS (T) LIMITED TANZANIA ELECTRIC SUPPLY COMPANY LIMITED

 
Kesi Na.26      

 

Kesi Na.27 M/s SINOTEC CONSTRUCTION ARUSHA URBAN WATER AND SANITATION AUTHORITY

 
Kesi Na.28 M/S NANDHRA ENGINEERING AND CONSTRUCTION COMPANY LIMITED SONGEA MUNICIPAL COUNCIL

 
Kesi Na.29 M/S NANDHRA ENGINEERING AND CONSTRUCTION COMPANY LIMITED SONGEA MUNICIPAL COUNCIL

 
Kesi Na.30 M/S BAMBA EAGLES LIMITED TANZANIA PORTS AUTHORITY  

Kesi Na.31 M/S SEMUKA INTERNATIONAL LIMITED TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION  

Kesi Na.32 M/S MEK ONE GENERAL TRADERS LTD TANZANIA ELECTRIC SUPPLY COMPANY LTD  

Kesi Na.33 M/S NICE CATERING SERVICES COMPANY LIMITED MEDICAL STORES DEPARTMENT (MSD)  

Kesi Na.34 M/S UTALII FOOD CATERERS UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM

 
Kesi Na.35 M/S NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND THE ACCOUNTANT GENERAL, MINISTRY OF FINANCE AND PLANNING  

Kesi Na.36 M/S MASWI DRILLING COMPANY LIMITED SENGEREMA DISTRICT COUNCIL

 
Kesi Na.37

UNDETERMINED

UNDETERMINED

 

 
Kesi Na.38

UNDETERMINED

UNDETERMINED

 
Kesi Na.39 M/S AFRIHOST INVESTMENT LIMITED KASULU TOWN COUNCIL

 
Kesi Na.40 M/S PUBLIC JOINT STOCK COMPANY, RESEARCH AND PRODUCTION CORPORATION UNITED WAGON COMPANY TANZANIA RAILWAYS CORPORATION

 
Kesi Na.41 M/s ENSOL TANZANIA LIMITED MPANDA DISTRICT COUNCIL  

Kesi Na.42 M/S PHILIPS MEDICAL SYSTEMS NEDERLAND B.V MUHIMBILI NATIONAL HOSPITAL  

Kesi Na.43 & 44 M/S PETROGAS FIELD SERVICES LIMITED TANZANIA PORTS AUTHORITY

 
Kesi Na.45      
       
MOTO: Kutoa Maamuzi ya Haki na Kwa Wakati