KARIBU

 Mamlaka ya Rufaa ya Zabuni za Umma (PPAA) ni chombo kilichoanzishwa kwa mujibu wa kifungu cha 88 cha Sheria ya Ununuzi wa Umma ya Mwaka 2011 pamoja na marekebisho yake ya Mwaka 2016.  Kwa mujibu wa Vifungu vya 88(5) na 97 vya Sheria ya Ununuzi wa Umma ya Mwaka 2011, jukumu kuu la Mamlaka ni kusikiliza na kutoa maamuzi juu ya malalamiko au rufaa zitokanazo na michakato mbalimbali ya ununuzi Umma.  Pia Mamlaka ina jukumu la kusikiliza malalamiko yanayotokana na kufungiwa kwa wazabuni (Blacklist of Tenderers).

 

  • pic-2-1.jpg
  • pic-3.jpg
  • pic-4.jpg
  • pic-6.jpg
  • pic.jpg
  • pic_5.jpg
  • PMpango_ippc.jpg
  • ppaa2.jpg

 

Fomu

Sheria na Kanuni

 PPAA FOMU Na.1 (Taarifa ya Malalamiko)

 PPAA FOMU Na.2 (Majibu ya Malalamiko)

 PPAA FOMU Na.6 (Maombi ya Kuongezewa Muda )

 PPAA FOMU Na.7(Maombi ya )

 

 

 

Kanuni za Rufaa 2014

Kanuni za Rufaa (Marekebisho) 2017

Sheria ya Manunuzi ya Umma 2011

Sheria ya Manunuzi ya      Umma  (Marekebisho)     2016

Kanununi za Manunuzi ya Umma 2013

Kanununi za Manunuzi ya     Umma (Marekebisho)       2016

 

   
MOTO: Kutoa Maamuzi ya Haki na Kwa Wakati